Wanaharakati washinikiza karani wa Bunge la Kaunti ya Nairobi ajiuzulu

NA WINNIE ONYANDO KIKUNDI cha Bunge la Mwananchi sasa kinamtaka karani wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Edward Gichana kujiuzulu kwa madai ya kuendeleza ufisadi. Kikundi hicho kikiongozwa na Francis Awino kinadai kuwa mabilioni ya fedha yametumika kwa njia isiyofaa chini ya karani huyo. Akirejelea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa serikali wa kaunti mbalimbali mwaka […]