Wanahabari wafurushwa Mukumu Girls bweni likiteketea

Taifa Leo
Published: Sep 17, 2023 05:30:00 EAT   |  Educational

NA SHABAN MAKOKHA WANAHABARI kutoka Kakamega jana, Jumamosi Septemba 16, 2023 walifurushwa na usimamizi wa shule ya upili ya Sacred Heart Mukumu Girls baada ya bweni moja katika shule hiyo kuteketea. Wanafunzi, walimu na wafanyakazi wa shule hiyo waliwafurusha wanahabari wakidai kuwa wanapeperusha habari zisizofaa. Bweni hilo lilishika moto mwendo wa saa 10.30 asubuhi Jumamosi […]