Wanahabari wafukuzwa wakifuatilia stori ya moto shuleni Mukumu

NA SHABAN MAKOKHA BWENI katika shule ya The Sacred Heart Girls’ Mukumu High limeteketea Jumamosi, mkasa huu ukitokea miezi michache tu baada ya wanafunzi kadha kuaga dunia baada ya kula chakula kilichokuwa kimeharibika. Waandishi wanaofuatilia matukio na visa Kaunti ya Kakamega, wametimuliwa wakifuatilia habari kuhusu mkasa huo wa moto ulioanza saa nne na nusu asubuhi. […]