Wanachuo watishia kuungana na Raila kwa maandamano

NA RUSHDIE OUDIA VIONGOZI wa Muungano wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini (KUSO) wameafikiana kuwa watajiunga na maandamano ambayo yameitishwa na Kinara wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga mara mbili kila wiki. Kupitia muungano huo, wanafunzi hao walisema kuwa gharama ya maisha nchini inaendelea kupanda na ni kupitia tu maandamano hayo ndipo serikali itawajibika […]