Wanabodaboda walia abiria wa kike kuwaweka majaribuni kimapenzi

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 12:53:17 EAT   |  News

KNA NA GEORGE ODIWUOR WAHUDUMU wa bodaboda kutoka Kaunti ya Mombasa, wamelalamika wakidai kuwa, baadhi ya abiria wao wa kike huwadhulumu kingono. Wakizungumza katika mkutano wa idara ya kitaifa inayoshughulikia masuala ya jinsia, walitaka juhudi za serikali kupambana na dhuluma za kingono katika jamii ziangazie pia yale ambayo wao hupitia. Mkutano huo ulilenga kuhamasisha waendeshaji […]