WAMEMKALIA CHAPATI? Madiwani waendelea kumkalia ngumu Sakaja

NA WINNIE ONYANDO SERIKALI ya Kaunti ya Nairobi inayoongozwa na Gavana Johnson Sakaja itaendelea kuumia zaidi baada ya madiwani kutaka muda wa ushirikishi wa umma kuhusu Mswada wa Fedha 2023 kuongezwa kwa kipindi cha mwezi mmoja. Madiwani hao wanasema kuwa muda huo utawawezesha wakazi wa Nairobi kuelewa mswada huo wa fedha kabla haujapitishwa na bunge […]