WALLAH BIN WALLAH: Ukitaka kuzifanya kazi zako ziwe bora zaidi, basi lazima ujiboreshe mara kwa mara!

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 07:58:52 EAT   |  General

NA WALLAH BIN WALLAH KINOLEWACHO hupata. Na kikipata hukata! Hivyo ndivyo wasemavyo wataalamu wanaoamini na kuthamini kwamba ukitaka zana zako za utendakazi zikufae, lazima ziwe katika hali njema. Ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Ubora wa chombo chochote ndio husababisha ubora wa utendakazi. Hali ni vivyo hivyo kwa mwanadamu pia. Mtu yeyote anayefanya kazi kwa makini kitaalamu […]