Waliovamia shamba la familia ya Uhuru Kenyatta kukamatwa

NA SAMMY WAWERU MSAKO wa wahuni waliovamia shamba la familia ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta Machi 2023, unatarajiwa kuanza hivi karibuni. Akihutubia taifa kuhusu hali ya usalama nchini, Waziri wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki alisema Jumatano, Mei 31, 2023 kwamba uvamizi wa shamba la rais huyo mstaafu ni hatia inayohitaji adhabu kali. “Uvamizi […]