Walioingiza raia wa Ethiopia watozwa faini ya Sh60 milioni

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA na dereva wake wametozwa faini ya Sh60 milioni ama watumikie kifungo cha miaka 10 gerezani kwa ulanguzi wa binadamu. Ali Mitano na Abdinasir Walde walisukumiwa hukumu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kuwaingiza nchini raia 11 wa Ethiopia waliokuwa wanaelekea Afrika Kusini. Hakimu mwandamizi Bw Bernard Ochoi aliwatapa na hatia […]