Wakulima walia matapeli wawauzia mchanga na chokaa wakidai ni mbolea

NA RICHARD MAOSI BAADHI ya wakulima wa mahindi, mboga na matunda nchini wameungama kuuziwa mchanga wakidanganywa kwamba ni mbolea, tatizo kuu likiwa ni kuwaamini matapeli. Wauzaji hao huwa hawana ofisi na bidhaa zao huwa hazina nembo za kuonyesha ubora. Aidha imebainika mbolea zenyewe hupatikana kwenye soko la mlango wa nyuma na huchuuzwa kwa bei ya chini ili kuwavutia […]