Wakimbizi wanavyofaulu kuvuna donge jijini licha ya changamoto ya uraia

NA LABAAN SHABAAN Annociate Dusabe, 27, ni mmoja wa wakimbizi zaidi ya 80, 000 wanaosaka tonge na makao jijini Nairobi na safari yake ya miaka sita imekumbwa na pandashuka si haba. Hatua zake za maisha zinaakisi hali halisi ya wakimbizi wenzake wa mijini wanaozongwa na vizingiti vya kupata vibali vya biashara, huduma za afya na […]