Wakenya wamponda Kuria kuweka ofa za supamaketi akisema gharama ya maisha imeshuka

Taifa Leo
Published: Sep 08, 2023 03:50:37 EAT   |  Business

NA RICHARD MAOSI WAKENYA wamempapura Waziri wa Biashara Moses Kuria, kwa kupiga picha ya ofa za supamaketi na kudai kwamba gharama ya maisha imeshuka. Huku baadhi wakitaka aombe msamaha, wameonyesha ghadhabu zao kwa kile wanachokidai kuwa waziri amevuka mipaka kwa kufanyia mzaha mzigo mzito wa maisha ambao umelemea wananchi. Kuria alipakia mtandaoni vibandiko vya kuashiria […]