Wakazi wa Rabai wapigwa kimaisha minazi ikikauka

NA ALEX KALAMA WAKAZI wa Rabai katika Kaunti ya Kilifi wamepigwa kimaisha baada ya minazi mingi kukauka msimu wa kiangazi kilichopita. Wakiongozwa na Mama Cathrine Luvuno kutoka Chang’ombe, wakazi hao wamesema kuwa viwango vya umaskini eneo hilo vimeongezeka kutokana na hali hiyo, ikikumbukwa kuwa mti wa mnazi huwa kitega uchumi kikubwa katika jamii hiyo ya […]