Wakazi wa Chakama wakadiria hasara baada ya mazao yao kufyekwa na wanyamapori

Taifa Leo
Published: Mar 09, 2023 12:17:53 EAT   |  Business

NA ALEX KALAMA ZAIDI ya wakazi 4,000 kutoka eneo la Chakama, wadi ya Adu, Kaunti ya Kilifi wanakadiria hasara kubwa ya mamilioni ya fedha baada ya mazao yao kuharibiwa na wanyamapori mashambani. Wakazi hao wamesema ndovu wamekuwa wakiharibu mimea yao mashambani tangu Disemba 2022 na kusababisha hasara kubwa ya mamilioni ya fedha hivyo kuwadidimiza kiuchumi. […]