Wahadhiri wapata ujuzi zaidi wa masuala ya kiteknolojia kupitia mradi wa Microsoft

Taifa Leo
Published: Mar 08, 2023 09:53:24 EAT   |  Technology

NA LAWRENCE ONGARO KITUO cha maendeleo cha The Microsoft Africa Development Centre (Microsoft ADC) na Microsoft Leap wamezindua hafla ya mafunzo kwa wahadhiri wa vyuo vikuu kuhusu teknolojia ya kisasa. Hiyo ni njia moja ya kuwapa mwongozo katika mtaala ya elimu ili waweze kutambua njia mwafaka ya kuendesha masomo. Masomo hayo ya wiki 12 mfululuzo […]