Wafanyakazi 7,000 wahofia ajira zao serikali ikibinafsisha bandari

Taifa Leo
Published: Sep 15, 2023 14:09:06 EAT   |  Jobs and Career

Na ANTHONY KITIMO WAFANYAKAZI zaidi ya 7,000 wanaofanya kazi katika Mamlaka ya Bandari za Kenya (KPA) huenda wakapoteza kazi yao. Wafanyikazi hao wana wasiwasi huku kampuni za kibinafsi zikilenga mabilioni ya pesa kutokana na mpango wa ubinafsishaji unaotarajiwa kukamilika kabla ya mwisho wa mwaka huu. Huku sekta ya kibinafsi ikitarajiwa kumiliki takriban mali tisa za […]