Wafanyabiashara waomba taa irekebishwe sokoni Kisekini

NA SAMMY KIMATU WAFANYABIASHARA katika kijiji cha Kisekini, kaunti ndogo ya Kathiani, Kaunti ya Machakos, wanakadiria hasara baada ya taa ya kituo cha kibiashara cha Kisekini kuharibika. Kutokana na hali hiyo, wafanyabiashara wanalazimika kufunga biashara kabla ya saa moja usiku. Akizungumza na Taifa Leo jana Jumatano, mhudumu wa duka, Bw Joseph Nzomo Kasema, alisema hawawezi […]