Wabunge wazima utekelezaji wa ripoti ya Munavu

NA CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa limepiga breki utekelezaji wa mapendekezo ya ripoti ya Jopokazi la Rais kuhusu Mageuzi katika Sekta ya Elimu nchini, likisema baadhi ya mapendekezo yake yanakiuka Katiba. Aidha, wabunge wamelalamika kuwa baadhi ya mapendekezo ya jopokazi hilo lililoongozwa na Profesa Raphael Munavu, yameanza kutekelezwa kabla ya kuwasilishwa bungeni. Kwenye mjadala ulioshamiri […]