Viva! Miguna Miguna ataka awe DPP

Taifa Leo
Published: Jul 11, 2023 18:46:21 EAT   |  Technology

NA MARY WANGARI WAKILI Miguna Miguna ametangaza kuwa ni miongoni mwa mawakili wanaomezea mate afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) huku tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ikiwadia. Bw Miguna alifichua haya Jumatatu kupitia ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alisema tayari amewasilisha ombi la kupata kazi hiyo. “Ili kuondoa shaka […]