Vituko: Sonko athibitisha ‘blingi’ zake si feki

Na MWANDISHI WETU ALIYEKUWA gavana wa Nairobi Mike Sonko alithibitisha kuwa blingi (vito) anavyovaa vya dhahabu si ghushi. Kwenye video aliyoposti mtandaoni, Sonko alimsuta mwakilishi wa wadi ya Kileleshwa Robert Alai kwa kueneza uvumi kuwa vito vyake ni feki. Alai na Sonko wamekuwa wakivutana mtandaoni kuhusu uhalali wa vito anavyovaa Sonko huku wakisutana kwa maneno […]