Visa vya mabweni kuteketea vyaongezeka

Taifa Leo
Published: Sep 19, 2023 11:27:57 EAT   |  Educational

NA SHABAN MAKOKHA  MALI ya thamani isiyojulikana ilichomeka Jumatatu usiku, baada ya moto mkubwa kutokea katika mojawapo ya mabweni katika Shule ya Upili ya Mumias Boys Muslim. Moto huo, ambao ulianza mwendo wa saa 2.20 usiku, uliwaacha mamia ya wanafunzi bila la kufanya, baada ya kuchoma vitabu, vifaa vya malazi, sare na bidhaa nyinginre za […]