Vipusa wa Chelsea wacharaza Man-United na kutwaa taji la WSL msimu huu

Na MASHIRIKA CHELSEA walishinda taji la Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake nchini Uingereza (WSL) kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kutandika Manchester United 4-2 katika siku ya mwisho kwenye kampeni za muhula huu mnamo Jumapili. Sam Kerr alifunga mabao mawili katika kipindi cha pili na kusaidia waajiri wake Chelsea kutoka nyuma na kuzamisha […]