Vijana wahimizwa kutumia kozi zao kujiajiri

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2023 10:00:18 EAT   |  News

NA LAWRENCE ONGARO MAHAFALI wapatao 5, 700 wa chuo Kikuu cha Mount Kenya waliofuzu mwaka huu, 2023 wamehimizwa kutilia maanani ujuzi waliopokea ili kujiajiri badala ya kutegemea nafasi finyu za kazi za serikali ambazo hazipatikani. Naibu Chansela Prof Deogratius Jaganyi, alisema licha ya masomo, wamepata ujuzi wa kuwa viongozi na kuonesha talanta zao katika uimbaji na […]