Veemisc ni mwanamuziki anayefanya vizuri pia katika uigizaji na biashara

NA JOHN KIMWERE AMEPITIA changamoto nyingi baada ya kuwa yatima akiwa na umri mdogo. Hata hivyo ni kati ya wasanii wanaokuja wanaolenga makubwa siku zijazo. Veronicah Muthoni ama ukipenda Veemisc ni mwanamuziki, mwigizaji chipukizi na mfanyibiashara. ”Ingawa nilivutiwa na muziki tangu utotoni mwangu na nilianza utunzi wangu mwaka 2018 sijapiga hatua kubwa,” anasema na kuongeza […]