Utata wa kesi ya mvulana wa miaka 13 akinajisi msichana wa miaka 4  

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 07:04:11 EAT   |  News

  NA TITUS OMINDE MVULANA wa miaka 13 anayekabiliwa na mashtaka ya unajisi kinyume na sheria ya makosa ya ngono ya 2006 atajua hatima yake Juni 6, 2023 baada ya mahakama ya Eldoret kuahirisha kesi yake. Mnamo Jumatano, Mei 31, 2023 hakimu mwandamizi wa Eldoret Caroline Waltima aliahirisha kusomewa mashtaka akisubiri kuteuliwa kwa wakili wa […]