Utamaduni tata wa ‘Tero Buru’ katika mazishi ya Magoha marufuku

RUSHDIE OUDIA Na AGARTHA GICHANA UTAMADUNI wa ‘Tero Buru’ hautazingatiwa kesho wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Elimu, George Magoha. Lengo la utamaduni wa Tero Buru ni kufukuza ‘mapepo ya kifo’. Utamaduni huo hufanyika katika mazishi ya wazee na watu mashuhuri. Hufanyika kaburini kabla mwili kuzikwa. Wazee hupeleka ng’ombe nyumbani kwa mwendazake na kuanza […]