Utalii: Wamiliki wa hoteli walenga vivutio vya dini

NA WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika biashara za hoteli wameanza kutafuta njia mbadala ya kujizolea faida, wiki mbili baada ya serikali ya kitaifa kupiga marufuku mashirika ya umma kuandaa mikutano na warsha za mafunzo hotelini. Mojawapo ya mbinu mpya ambayo imeanza kupangwa, ni kutumia majengo ya kihistoria ya dini kuvutia mahujaji katika maeneo ya Pwani. Wiki […]