Utalii Lamu wayumbishwa na Al-Shabaab

Taifa Leo
Published: Aug 04, 2023 07:24:36 EAT   |  Travel

NA KALUME KAZUNGU WADAU wa utalii Lamu wameeleza hofu kuwa visa vya mashambulizi ya kigaidi vinavyoendelea kushuhudiwa katika kaunti hiyo miezi ya hivi karibuni huenda vikaathiri pakubwa idadi ya watalii wanaozuru eneo hilo. Tayari msimu wa juu wa utalii ulishaanza tangu Julai mwaka huu, wakati ambapo watalii wengi, hasa wale wa ng’ambo hutarajiwa kufurika Lamu […]