Ushauri nasaha kwa wanafunzi wa shule Nakuru kufuatia kifo cha mwenzao aliyebakwa

Taifa Leo
Published: Sep 24, 2023 16:09:12 EAT   |  Educational

NA MERCY KOSKEI SHULE ya msingi ya Roots Academy iliyoko katika Kaunti ya Nakuru imechukua hatua kutoa ushauri nasaha kwa wanafunzi wanaoomboleza kifo cha mmoja wao. Jasmine Njoki, 12, mwanafunzi wa gredi ya 6 katika shule hiyo alifariki katika hali tatanishi, wiki iliyopita na mwili wake kutupwa kichakani mita 400 kutoka nyumbani kwao huku ripoti […]