Upande wa mashtaka waomba Mackenzie aendelee kukaa kizuizini kwa siku 60 zaidi

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 09:31:54 EAT   |  General

NA WACHIRA MWANGI MHUBIRI wa kanisa la Good News International Paul Mackenzie amefikishwa katika Mahakama ya Shanzu jijini Mombasa leo Ijumaa, Juni 2, 2023. ambapo upande wa mashtaka unaomba aendelee kuzuiliwa kwa siku 60 zaidi. Upande huo wa mashtaka unataka mhubiri huyo, mkewe na watu wengine 16 waendelee kuzuiliwa huku uchunguzi ukiendelea. Inadaiwa Mackenzie na […]