Umeme kukatwa sababu ya wakazi kukosa maji

NA ALEX KALAMA WAZIRI wa maji katika serikali ya Kaunti ya Kilifi Said Omar amekiri kuwa serikali ya kaunti hiyo pamoja na kampuni za usambazaji maji eneo hilo zinadaiwa deni kubwa na kampuni ya umeme ya Kenya Power deni ambalo limesababisha wenyeji kukosa maji kutokana na kukatwa kwa umeme. Akizungumza na wanahabari mjini Malindi waziri […]