Ukaguzi: Kaunti ya Homabay imejaa wafanyakazi hewa, wengine ‘under-18’

Na JESSE CHENGE Uchunguzi umebaini kuwa Serikali ya Kaunti ya Homa Bay inaweza kuwa imepoteza Sh300 milioni zilizolipwa wafanyakazi hewa katika miaka iliyopita. Ajira isiyo halali ya wafanyakazi iligunduliwa wakati wa ukaguzi wa sensa ya watu uliofanywa na wakaguzi wa Price Waterhouse Coopers mnamo Novemba 21 mwaka jana. Ripoti iliyokabidhiwa Gavana Gladys Wanga Agosti 24, […]