UJASIRIAMALI: Jinsi wazo la kutatua changamoto ya kiafya lilivyozaa biashara kubwa

Taifa Leo
Published: Mar 19, 2023 13:28:19 EAT   |  Business

Na MAGDALENE WANJA MNAMO mwaka 2020, Victor Kamau alitumia muda wake mwingi kufanya utafiti ili kupata dawa za kumtibu nduguye mdogo aliyekuwa akiugua kwa muda mrefu. Juhudi za familia zote ziliambulia patupu kwani hata baada ya kutembelea hospitali mbalimbali, hawakuweza kubaini chanzo cha maradhi yake. Alipokuwa akifanya utafiti wake, alichanganya aina ya matunda ya kiasili […]