UJASIRIAMALI: DJ anayekupa burudani aali akijihakikishia kipato kizuri kwa kuwapokeza wengine ujuzi

Taifa Leo
Published: Feb 17, 2023 09:46:02 EAT   |  Entertainment

NA MARGARET MAINA MIAKA ya nyuma, kazi ya u-DJ yaani deejaying mara nyingi haikuzingatiwa lakini baada ya muda, madeejay wamethibitisha kuwa sanaa hii inafaa kupewa fursa. Stan Njenga Kinyanjui anayejulikana kama DJ Stan, amefanya mageuzi katika uchezaji muziki mitaani na sasa ameanza kuwafundisha vijana ili nao wawe stadi na magwiji katika tasnia ya burudani. Kwa mtaji […]