UJASIRIAMALI: Asema kuelewa mahitaji ya mteja ndio siri ya kutengeneza wavuti maridadi

Na MAGDALENE WANJA PATRICK Mugambi alianza biashara yake mnamo mwaka 2014 alipokuwa bado ameajiriwa katika kampuni ya kuundia wateja wavuti mbalimbali. Katika muda huo, alikuwa akikutana na wateja wake wakati wa mapumziko ya chakula cha mchana na jioni baada ya kazi yake ya mchana. “Nilikuwa sina muda kabisa kwani nilikuwa nikifanya kazi hizi mbili zikiandamana, […]