UJASIRIAMALI: Ana magari ya wateja kulipia wayatumie kwa muda fulani

Taifa Leo
Published: Mar 02, 2023 09:13:09 EAT   |  Business

NA MAGDALENE WANJA BAADA ya kufanya biashara za aina mbalimbali, ikiwemo ya mitumba, Bw Simon Kibe aligundua kuwa kulikuwa na pengo katika biashara ya kukodisha magari ya kibiashara. Baadhi ya marafiki zake ambao walikuwa katika biashara mbalimbali walimuelezea jinsi walitaka magari aya kutumia kwa muda mfupi ila hawakuridhika na baadhi ya magari yaliyokuwa yakipatikana ya […]