Uhuru asisitiza umuhimu wa umoja

Taifa Leo
Published: Dec 12, 2021 19:37:26 EAT   |  News

PSCU na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumapili alikariri umuhimu wa umoja wa kitaifa alipoongoza taifa katika sherehe ya maadhimisho ya Jamhuri Dei katika bustani ya Jamhuri, Nairobi. Bustani hiyo ilikarabatiwa na Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kutokana na umuhimu wake kihistaria kwani hapo ndipo bendera ya mkoloni ilishushwa na bendera Kenya ikapandishwa ili […]