Uhuru aonyesha Raila Ikulu

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 06:30:03 EAT   |  News

CHARLES WASONGA na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta, jana Jumapili alionyesha wazi kwamba anamuunga kiongozi wa ODM Raila Odinga kuwa mrithi wake kwa kumkweza mbele ya Naibu Rais William Ruto katika maadhimisho ya Jamhuri Dei. Rais Kenyatta alimmiminia sifa Bw Odinga kiasi cha kuvunja itifaki na kumwalika kuhutubu baada ya kusoma hotuba yake rasmi kwa […]