Uhuru ahimizwa akamnadi Raila Mlima Kenya

Taifa Leo
Published: May 10, 2022 21:29:21 EAT   |  News

NA KASSIM ADINASI MBUNGE wa Ugenya, David Ochieng, ambaye pia ni kiongozi wa chama cha MDG, amemrai Rais Uhuru Kenyatta kuanzisha kampeni kali ya kumpigia debe mgombea wa Azimio La Umoja, Raila Odinga, eneo la Kati akisema muda unayoyoma. Akizungumza Ugenya ambapo alitoa basari kwa watoto maskini, Bw Ochieng alisema Kiongozi wa Taifa hapaswi kusubiri […]