Uhuru aapa kuwa BBI itatimia

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa mageuzi ya katiba yaliyopendekezwa katika Mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) sharti yatatekelezwa. Akiongea Jumapili katika bustani ya Jamhuri, jijini Nairobi, wakati wa sherehe za 57 za Jamhuri Rais alisema kuwa mchakato huo utachangia kupililia umoja ambao mashujaa wa uhuru walipigania tangu 1963. “Tunahitaji […]