UHC: Serikali yaambiwa ikome kuwa kupe kwa kutegemea tu wahisani

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 08:45:42 EAT   |  News

NA MARY WANGARI WADAU wa afya wameonya Kenya na mataifa ya Afrika kwa ujumla dhidi ya kuendelea kutegemea zaidi msaada kutoka kwa wahisani wakisema hali hiyo inahujumu juhudi za kufanikisha Mpango wa Afya kwa Wote (UHC) kufikia mwaka wa 2030. Ripoti mpya iliyotolewa kuhusu Hadhi ya Ufadhili katika Huduma ya Afya Nchini inaashiria kuwa kiasi […]