Uhaba wa meli wachelewesha Wakenya kubobea kwa maswala ya baharini

NA MAUREEN ONGALA MAMLAKA ya Bandari nchini (KPA) imeeleza kuwa Wakenya hawajajiendeleza kitaaluma jinsi inavyotakikana, kutokana na uhaba wa meli hapa nchini. Afisa wa mawasiliano wa KPA Bw Hajji Misemo, alisema kuwa licha ya hatua zilizopigwa kuimarisha mapato ya uchumi wa baharini, bado kuna changamoto hiyo ya uhaba wa meli, ambayo alisema inastahili kuchukuliwa kwa […]