Ufaransa, Ubelgiji mizanini Euro 2024

Taifa Leo
Published: Mar 24, 2023 11:31:17 EAT   |  Sports

NA MASHIRIKA PARIS, Ufaransa WAFARANSA wataalika Waholanzi nao Wabelgiji watavaana na Waswidi kwenye menyu ya michuano mikali ya kufuzu kushiriki Kombe la Bara Ulaya (Euro) mwaka 2024, leo Ijumaa. Mabingwa wa Kombe la Dunia 2018 Ufaransa wanafukuzia ushindi wa nne mfululizo dhidi ya Uholanzi ugani Stade de France. Hata hivyo, mchuano huu utakuwa mtihani kwa […]