Tutapandisha hadhi ya CAF kwa kutendea haki maandalizi ya AFCON 2027, yasema BMT

MUHTASARI Mashindano makubwa ya soka barani Afrika kwa nchi za Afrika Mashariki kwa mara ya mwisho yalifanyika Tanzania ambayo yalikuwa ni yale ya Mataifa ya Afrika kwa chipukizi chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17) 2019. Na MASHIRIKA MWENYEKITI wa Baraza la Taifa la Michezo Tanzania (BMT), Leodgar Tenga, amesema kuwa Shirikisho la Soka […]