TUSIJE TUKASAHAU: Dkt Ruto atuambie mradi wa kiwanda cha mbolea umefikia wapi

AKIENDESHA kampeni zake katika kaunti za Magharibi ya Kenya na Trans Nzoia mwishoni mwa wiki iliyopita, Naibu Rais William Ruto aliahidi kupunguza gharama ya pembejeo za kilimo, miongoni mwa changomoto nyingine zinazowasibu wakulima. Kwa mfano, ameahidi kupunguza bei ya mbolea ya upanzi kutoka Sh6,000 hadi Sh2,500 kwa gunia moja la kilo 50, akishinda urais mnamo […]