TUONGEE KIUME: Usichotakiwa kufanya ukiwa mwanamume usiye na ajira

Na KELVIN KAGAMBO, ripota Mwananchi Communications Limited Katika kitabu chake cha The End of Jobs, milionea kijana Taylor Pearson ameandika, “kwa enzi hizi za matumizi makubwa ya mashine na intaneti, ajira yako ni kitu kinachoweza kupotea kufumba na kufumbua, kwa hiyo ujasiriamali ni salama zaidi ya ajira.” Nasema katika enzi hizi za matumizi makubwa ya mashine […]