Tundo mfalme mpya mbio za magari nchini

Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa Afrika, Carl ‘Flash’ Tundo jana Jumapili pia alitawazwa mfalme wa Mbio za Magari za Kitaifa nchini (KNRC) baada ya kumaliza duru ya mwisho ya KCB Guru Nanak Rally katika nafasi ya tatu katika Kaunti ya Kajiado. Licha ya bingwa huyo wa Guru Nanak Rally mwaka 2011, 2012, 2017, 2018 na […]