Tuju apuuzilia mbali hatua ya Dkt Mutua kugura Azimio

NA CHARLES WASONGA MKURUGENZI Mkuu wa muungano wa Azimio La Umoja-One Kenya Raphael Tuju amepuuzilia mbali hatua ya Gavana wa Machakos Alfred Mutua kujiunga na muungano wa Kenya Kwanza. Akiongea na wanahabari katika mkahawa wa Serena, Nairobi Jumatatu, Mei 9, 2022, Bw Tuju alisema kuwa Dkt Mutua alikuwa anashinikiza apewe nakala ya mkataba wa Azimio […]