Tineja mshukiwa wa mauaji ya Eric Maigo kuzuiliwa kwa siku 21

Taifa Leo
Published: Sep 27, 2023 12:56:55 EAT   |  General

NA RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA mkuu katika mauaji ya kinyama ya aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa fedha Nairobi Hospital Eric Maigo amefikishwa kortini. Msichana huyo tineja alifikishwa mbele ya hakimu mwandamizi katika Mahakama ya Milimani Zainab Abdul aliyeamuru azuiliwe kwa siku 21 kuhojiwa na kuchunguzwa. Maigo alikufa baada ya kudungwa kisu mara 25 kifuani. Tineja aliyekamatwa Septemba […]