Thugge kuondoa sheria inayozuia Wakenya kuweka na kutoa kwa benki Sh1 milioni na zaidi

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 16:30:45 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA WAKENYA wataweza kuweka na kutoa zaidi ya Sh1 milioni kutoka mashirika ya kifedha ikiwa wabunge wataidhinisha uteuzi wa Kamau Thugge kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Kenya (CBK). Jumanne, Dkt Thugge amewaambia wabunge wanachama wa Kamati ya Bunge kuhusu Fedha na Mipango kwamba atapendekeza sheria kuhusu suala hilo ifanyiwe mabadiliko. “Nafahamu kwamba […]